Kapinga aliyasema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga aliyetaka kufahamu kwa nini maeneo ya ...
Serikali kupitia Costech imedhamini zaidi ya tafiti 50 katika sekta mbalimbali za elimu, kilimo, afya, na mazingira, huku ...
Inadaiwa mwanamke huyo aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali tumboni baada ya kumnyima kijana huyo anayedaiwa kuwa ...
Bwawa la Nyida litahudumia heka 800 za mashamba ili kuongeza uzalishaji wa zao la mpunga kutoka gunia 10 kwa heka kwa sasa ...
Baada ya maelezo hayo, Hakimu Ramadhan Rugemalira amewaonya mashahidi waliofika mahakamani hapo kufika tarehe ijayo ili shauri liende mbele.
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeielekeza Serikali kutoa fedha zilizoidhinishwa na bunge katika ...
Chadema ilitangaza kampeni ya No, Reform No Election (bila mabadiliko, hapa uchaguzi) ikilenga kushinikiza mabadiliko ya kisheria kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Mnyukano katika mkoa huo unazidi kukolea katika kipindi ambacho chama hicho kinajiandaa kuingia kwenye kura za maoni kusaka ...
Shahidi ya pili wa upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayowakabili meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai na mwanaharakati Godlisten Malisa, ...
Licha ya dhamana yao kuwa wazi, lakini siku hiyo walishindwa kutekeleza masharti ya dhamana, wakapelekwa mahabusu hadi ...
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo ameitaka Serikali kusimamia haki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuhakikisha kunakuwepo ...
Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeunguza vibanda vya wafanyabiashara zaidi ya 30 wa mbao katika soko la mbao ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results