Simba juzi Alhamisi, Machi 19, 2026 ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
MATOKEO ya mechi ya leo Alhamisi yataamua mshale wa Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara upande hatua mbili juu au ubaki hapohapo huku kikosi hicho cha Steve Barker kikiwa na mtihani mbele ya Pamba J ...
Kufuatia uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) wa kuivua timu ya taifa ya Senegal, Lions of Teranga, Ubingwa wa AFCON 2025 na kuipa ubingwa huo timu ya taifa ya Morocco, serika ...
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema kikosi chake kiko tayari, hakina uoga, na kitacheza kikubwa dhidi ya Simba ili kuweka heshima kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mchezo huo namb ...
Simba imeondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuifunga Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Mwigulu Complex mkoani, Singida. Ellie Mpanzu ndiye ...
Msemaji wa klabu ya Simba Ahmed Ally, amesema walilenga kuidhalilisha Yanga kwa kuwafunga, kwa sababu ya maandalizi mazuri waliyofanya, kuelekea dabi hiyo ya Kariakoo. “Tumeonesha kiwang cha juu cha ...
Barker's Simba dealt with blow in title race as derby loomsPhoto: Simba SC @ XSteve Barker's Simba SC played to a goalless stalemate with Dodoma Jiji in the NBC Tanzania Premier League.The draw is a ...
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo timu hiyo kufungwa bao 1-0 na Espérance de Tunis ya Tunisia mchezo ...
Dar es Salaam. Simba baada ya kuachana na Dimitar Pantev Desemba 2, 2025, sasa ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya wa kuja kuinoa timu hiyo. Wakati mchakato huo ukiendelea, Seleman Matola ...
Dar es Salaam. Uamuzi wa Simba kuachana ghafla na Meneja wake Dimitar Pantev ambaye alikuwa mkuu wa benchi la ufundi, leo Jumanne, Desemba 2, 2025 unatajwa kuchangiwa na sababu tatu. Kupitia taarifa ...
Much to my dismay, I’m not the type of person that can fall asleep anywhere. I wish. But I’m not kidding when I say that every. Single. Time. I lie down on our Simba Hybrid Luxe mattress, I’m out like ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results