Usiku mmoja mwaka wa 2023, Eric alikuwa akiangalia mitandao ya kijami kwenye simu yake. Siku hiyo alikuw aanafuatilia ukurasa wa mtandao unaoonyesha picha/video za ngono (Pornography) kama alivyokuwa ...
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya video za ngono inaweza kuwa sehemu ya hiki kilichoshuhudiwa hivi karibuni katika maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.