Simba imeondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuifunga Singida Black Stars katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ...
KUTORUHUSU bao lolote dhidi ya TRA United katika mechi nne za Ligi Kuu Bara walizokutana, zinaipa Simba matumaini ya ...
KATIKA mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba uliochezwa Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa New ...
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
Miamba wa soka na watani wa jadi katika ligi kuu ya soka Tanzania bara, Yanga na Simba, walitoka sare ya 0-0 katika mechi ya ...
'Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
Tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa matokeo ya robo fainali mechi za klabu bingwa Afrika, Uganda yalenda kufuzu Kombe la Dunia wasiozidi miaka 17, timu ya taifa ya raga ya kina dada ya Kenya ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.